• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Maji
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

GSM Yakabidhi Mifuko 140 kwa RC Mbeya

Imetumwa : November 30th, 2018

Kampuni ya GSM kupitia kampuni tanzu ya GS Agro  imemkabidhi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila mifuko 140 ya mbolea kwa ajili ya vikundi  7 vya wanawake kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya.

Akimpokea  mbolea hizo leo ofisini kwake  Mhe. Chalamila  ameishukuru kampuni hiyo na kuwaomba kuendelea kusaidia kwa kadri itakavyoendelea kuguswa katika kusogeza mbele maendeleo ya kiuchumi kwa upana  wake.

Mhe. Chalamila amesema vikundi saba vitakavyonufaika ni  Palishimo, Uhalamsye, Mwawesya, Zinduka, Lwangaje, Wile  na Tashila na ambavyo vitapokea mifuko 10 kwa kila kikundi

Chalamila amesema mkoa umeshaanza mazungumzo na nchi jirani za Congo na Zambia kwa ajili kutafuta masoko ya mazao na hivyo kuwataka wakulima hao kutumia mbolea waliopewa msaada.

Mhe. Chalamila amesema amewaomba GSM waje kuwekeza katika ujenzi  wa viwanda vya magodoro na misumari vitakavyoweza kuongeza ajira  na mapato kwa Mkoa wa Mbeya.

Bibi Marieta Ben Mwakilishi wa kina mama ameishukuru Mkuu wa Mkoa  kwa kuweza  kiwaombea mpaka kampuni ikakubali kuwasidia kupata mbolea hiyo na kusema itawapunguzi  tatizo la kuwa magolikipa katika ndoa zao kwa sababu sasa wana uwezo wa kujitegemea.

Akikabidhi mbolea hizo Afisa Uhusiano na Mawasiliano wa kampuni ya GSM Bw.  Martina Nkuru  ametoa pongezi kwa Mkuu wa Mkoa  na kusema kuwa hizo ni jitihada zake alizozifanya kwa ajili ya wananchi wake na kampuni mpaka  ikaona umuhimu  wa kusaidia katika harakati zake za kuinua uchumi wa Mbeya.

Bw. Nkuru amesema kuwa kampuni  imeanza kwa kuwasidia wakina mama wa vikundi vinavyojishughulisha na kilimo kama mwanzo wa kuanza kujenga mahusiano mazuri na Serikali  na  kuomba makampuni mengine kuendelea kuiga mfano wao.

Nkuru amesema kuwa kampuni itaendelea kutoa misaada mingine hasa katika masuala ya uwekezaji wa viwanda.

Matangazo

  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato chaKwanza 2020 Mkoa wa Mbeya. December 06, 2019
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2019 October 17, 2019
  • Fomu za Kujiunga na Kidato cha Tano 2019 June 10, 2019
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2019 Mkoa wa Mbeya. December 17, 2018
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Mkuu wa Mkoa Awataka Watumishi Kuacha Urasimu

    November 29, 2019
  • Usuluhishi wa Mgogoro wa Ardhi kati ya Wananchi wa Kijiji cha Nanyara na Kiwanda cha Songwe

    November 02, 2019
  • Miradi ya Sh Bilioni 26 Kutembelewa na Mbio za Mwenge wa Uhuru 2019

    September 03, 2019
  • Waziri Mkuu Mstaafu Mh Pinda Afunga Maonesho ya Nanenane Mbeya

    August 08, 2019
  • Tazama Zaidi

Video

Viongozi watakiwa kuwa wasafi
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Bajeti ya Mkoa wa Mbeya 2018/2019
  • Mpango wa Bajeti 2018/2019
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa
  • OPRAS Fomu
  • Maoni na Malalamiko
  • Mwongozo Uwekezaji Mkoa wa Mbeya
  • Mafanikio ya TASAF

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 022 253034

    Simu ya Mkononi: 255 784838650

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2019 Mbeya Region . All rights reserved.