• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Maji
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Makamu wa Rais Aanza Ziara Mbeya

Imetumwa : July 25th, 2018

Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe Mama Samia Suluhu ameanza ziara ya siku 5 Mkoani Mbeya ambapo atatembelea wilaya zote 5 za Mkoa wa Mbeya lengo likiwa ziara ni kusikiliza na kuona jinsi ya kutatua changamoto za wananchi napia kushukuru wananchi wa Mbeya kwa kuiamini na kuiweka madarakani Serikali ya Awamu ya Tano.

Baada ya kupokelewa Mama Samia alipata nafasi ya kuwapa pole wananchi wa Mbalizi baada ya ajali iliyotokea mlima Iwambi kuua watu 20 na kueleza mikakati ya Serikali ya kuamua kutengeneza njia ya mchepuko kwa ajili ya magari madogo.

  Amesema kuwa suala la kutengeneza barabara ya magari makubwa ni utekelezaji wa muda mrefu, hivyo kwa muda huu tunatengeneza barabara ya magari madogo, ikikamilika magari madogo yote yatapita katika barabara hiyo na barabara hii inayotumika sasa yatabaki magari makubwa tu mpaka barabara yao itakapokamilika

Mama Samia atafanya ziara kwaenye wilaya Mbeya,Rungwe, Kyela, Mbarali na Chunya

Matangazo

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2018 January 24, 2019
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2019 Mkoa wa Mbeya. December 17, 2018
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Maafisa Upelelezi Watakiwa Kufanya Kazi kwa Weledi

    February 01, 2019
  • Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Atoa Msaada wa Mabati

    January 09, 2019
  • GSM Yakabidhi Mifuko 140 kwa RC Mbeya

    November 30, 2018
  • TBS Watakiwa Kufanya Kazi kwa Ushirikiano

    November 12, 2018
  • Tazama Zaidi

Video

Viongozi watakiwa kuwa wasafi
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Bajeti ya Mkoa wa Mbeya 2018/2019
  • Mpango wa Bajeti 2018/2019
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa
  • OPRAS Fomu
  • Maoni na Malalamiko
  • Mwongozo Uwekezaji Mkoa wa Mbeya
  • Mafanikio ya TASAF

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 022 253034

    Simu ya Mkononi: 255 784838650

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki@ 2018 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa