• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Maji
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

TANROADS yatakiwa Kuwalipa Wakandarasi kwa wakati

Imetumwa : September 3rd, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Albert Chalamila ametaka Meneja wa Wakala ya Barabara Mkoa kuhakikisha inafuatilia kwa karibu malipo ya kiasi cha shillingi Milioni 571.99 ya mkandarasi anayejenga barabara ya Igawa- Rujewa –Ubaruku ili asifunge barabara hiyo.

Mhe. Chalamila ameyasema hayo leo alipokuwa akikagua barabara hiyo yenye urefu wa km 6.6 na kusema TANROADS wahakikishe wanansimamia malipo ya mkandarasi huyo ili aweze kukamilisha barabara hiyo kwa wakati.

Chalamila amesema kuwa utovu wa nidhamu wa kujenga barabara chini ya kiwango unaweza kuanza kama mkandarasi ataendelea kucheleweshewa fedha zake  na kuisababishia serikali hasara.

Mhe Chalamila amesema ofisi yake ipo tayari kushirikiana na wakala wa barabara kuiomba Wizara ya ujenzi kuwahisha fedha hizo kama wataona kuna uhitaji wa ofisi ya mkoa kuingilia kati suala hilo.

Akisoma taarifa ya Mradi huo Mhandisi Fredy Kipamila amesema kuwa barabara ya Igawa-Rujwa-Ubaruku inajengwa kwa kiwango cha lami ili kurahisisha usafiri na kuongeza kasi ya maendeleo ya kiuchumi wilayani Mbarali.

Mhandisi Kipamila amesema mradi huo ulitengewa jumla ya sh. Bilioni 6.239 kazi inayofanywa na kampuni ya Summer Communications kwa kushirikiana na kampuni ya Mtwivila Traders zote za Tanzania  kwa mkataba wa miezi 12.

Mhandisi amesema hadi agosti 2018, ni asilimi 63 imekamilika ambapo mkandarasi amemaliza kazi ya ujenzi wa tuta la barabara na mhimili wa kwanza wa barabara kwa kuchanganya kifusi na sementi (sub-base) yenye unene wa sentimita 15.

Naye Mhandisi wa Mradi Bw. Herifrey  Mgeni ameomba serikali kuwahisha maombi yao ya fedha ili waweze kumaliza barabara hiyo kwa wakati kama ilivyopangwa awali.

Matangazo

  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 Mkoa wa Mbeya. December 18, 2020
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Matokeo ya Darasa la Saba 2020 November 21, 2020
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Mkoa wa Mbeya Wajiwekea Malengo ya Upandaji miti

    January 13, 2021
  • Mbeya Yaja na Mkakati Mpya wa kupunguza Upungufu wa Vyumba Vya Madarasa

    December 09, 2020
  • Mbeya Waadhimisha Siku ya Uhuru kwa Kupanda Miti

    December 09, 2020
  • RC Aagiza Kuchunguza Upotevu wa 800M za Walimu

    December 04, 2020
  • Tazama Zaidi

Video

Viongozi watakiwa kuwa wasafi
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Wasifu wa Mkoa wa Mbeya 2015
  • Mpango Mkakati wa Mkoa 2018-2023
  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Mpango Mkakati wa Kuendeleza Sekta za Kilimo 2020 - 2025
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025 2503034

    Simu ya Mkononi: 255 784838650

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2019 Mbeya Region . All rights reserved.