• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Maji
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wakuu wa Wilaya Watakiwa Kusimamia Zoezi la Upandaji Miti

Imetumwa : February 6th, 2018

Mkoa wa Mbeya ameagiza Wakuu wa Wilaya wote kutumia msimu huu wa mvua kusimamia na kushirikiana na wananchi kuendeleza kampeni muhimu ya upandaji wa miti kitaifa ili kuweza kupunguza uharibifu unaosababishwa na ukataji miti na kutunza vyanzo vya maji na kuweza kufikia lengo tuliloweka la kupanda miti 1.5 milioni au zaidi kwa kila Halmashauri.

Mhe Makalla ameyasema hayo katika uzinduzi wa Kampeni za upandaji miti Kitaifa Mkoa wa Mbeya ambapo kampeni hii  hufanyika ili kuruhusu wananchi wote wa maeneo husika kushiriki kikamilifu katika kupanda miti kwenye maeneo yao ya makazi.

“ Ni imani yangu kuwa, wakazi wa Vijiji na Mitaa inayozunguka hifadhi hii mtahakikisha kuwa miti iliyopo na inayopandwa kwenye hifadhi hii na pembezoni mwa barabara inatunzwa kikamilifu ili kuboresha hali ya mazingira na uhifadhi wa misitu na vyanzo vya maji katika maeneo yetu”. Mhe. Makalla

Pia Mhe. Makalla amewataka Viongozi wa Siasa na Serikali kudhibiti ufugaji ndani ya hifadhi na kuhakikisha kwamba mifugo yote inafungwa na kuhudumiwa katika maeneo yaliyoruhusiwa pasipo kusababisha uharibifu wa rasilimali za mazingira

Mwakilishi wa Mamlaka ya Mji Bw. Venance Hawela amesema ili kutekeleza kikamilifu jukumu hili mwaka huu mradi wa uhifadhi mazingira Mlima Mbeya umeweka malengo ya upandaji miti 102,000 kwa ajili ya vyanzo vya maji, mapambo na Matunda na kimvuli.

Bw. Hawela amesema kuwa lengo kuu ni kuhamasisha wananchi kuwa na utamaduni wa kupanda miti katika maeneo yao ili kuepusha nchi kuwa jangwa kutokana na kukosekana kwa rasilimali ya misitu.  

Aidha amehimiza shughuli za upandaji miti kuendelea na kusimamia shughuli za upandaji miti  ziwe ni utamaduni wananchi  kupanda miti kwenye maeneo yao na vyanzo vya maji kwani ni muhimu sana kwa maisha ya kila siku.


Matangazo

  • Matokeo ya Kidato cha Nne 2018 January 24, 2019
  • Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2019 Mkoa wa Mbeya. December 17, 2018
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Maafisa Upelelezi Watakiwa Kufanya Kazi kwa Weledi

    February 01, 2019
  • Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Atoa Msaada wa Mabati

    January 09, 2019
  • GSM Yakabidhi Mifuko 140 kwa RC Mbeya

    November 30, 2018
  • TBS Watakiwa Kufanya Kazi kwa Ushirikiano

    November 12, 2018
  • Tazama Zaidi

Video

Viongozi watakiwa kuwa wasafi
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Bajeti ya Mkoa wa Mbeya 2018/2019
  • Mpango wa Bajeti 2018/2019
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Fomu ya Ruhusa
  • OPRAS Fomu
  • Maoni na Malalamiko
  • Mwongozo Uwekezaji Mkoa wa Mbeya
  • Mafanikio ya TASAF

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 022 253034

    Simu ya Mkononi: 255 784838650

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki@ 2018 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa