Imetumwa : April 8th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Albert Chalamila amewataka Wawekezaji wenye Asili ya Kichina kufuata sheria na taratibu za nchi hasa katika kusimamia nidhamu ya watumishi wao katika maeneo ya uwekezaji
M...
Imetumwa : April 6th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Albert Chalamila ametangaza kuipa jina la Chifu Rocket Mwanshinga(Chief Rocket Mwanshinga Pre& Primary English Medium School) Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiing...
Imetumwa : March 12th, 2021
Jiji la Mbeya limetoa kiasi cha Shilingi 269,501,500.00 kwa makundi matatu ya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu katika kipindi cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2020/2021
Fedha hizo zimetolew...