Imetumwa : December 10th, 2019
Jumla ya Wafungwa 259 Mkoani Mbeya wamekuwa miongoni mwa wafungwa Zaidi ya 5000 waliopatiwa msamaha wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kufuatia maadhimisho ya miaka 58 ...
Imetumwa : November 29th, 2019
Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema vitendo vya urasimu na rushwa vinavyofanywa na baadhi ya watendaji Serikalini ndio sumu inayokwamisha kasi ya uwekezaji wa viwanda.
Chalamila ...
Imetumwa : November 2nd, 2019
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli aliagiza Wizara za Ardhi, Madini, Tamisemi na Viwanda zishughulik...