Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa Mbeya anawakaribisha wananchi, wawekezaji na wafanyabiashara kwenye uzinduzi wa mwongozo wa Uwekezaji Mkoa wa Mbeya
Mahali: Ukumbi wa St. Ann's Wilaya ya Mbarali
Tarehe: 14 Machi, 2021 saa 6.00 Mchana
Mgeni Rasmi: Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa(MB), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
UZINDUZI HUO LITARUSHWA MBASHARA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI
Mawasiliano
Email: ras@mbeya.go.tz
kilimo@mbeya.go.tz
Simu: +255 767 396924
2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA
Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.
Simu: 025-2504045
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras@mbeya.go.tz
Haki MilikiĀ©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa