• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Maji
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kilimo

  • 1.1 Mifumo ya Kilimo
  • Mkoa unayo Mifumo ya Uzalishaji Kilimo (Farming Systems) ipatayo 10 ambayo inategemea hali ya hewa ya eneo pamoja na shughuli za kiuchumi za eneo husika. Jedwali Na. 1 linaonesha mtawanyiko wa mifumo ya Kilimo Kiwilaya.

Jesdwali Na.1:  Mifumo ya Uzalishaji Kilimo (Farming Systems zones)

Na
Mfumo wa Kilimo
Halmashauri
1
Migomba - Kahawa
Rungwe, Busokelo
2
Mahindi - Maharage
Mbeya rural
4
Mahindi – Viazi Mviringo
Mbeya rural, Rungwe, Busokelo
5
Tumbaku - Ufugaji
Chunya
6
Mpunga - Ufugaji
Mbarali, Kyela
7
Mahindi Ufugaji
Chunya
8
Mpunga - Kakao
Kyela, Rungwe, Busokelo
9
Mahindi - Ufuta
Chunya
10
Kilimo Mjini (Mahindi, maharage, viazi, ngano, njegere, mboga mboga, ufugaji, biashara na ujasiriamali)
Mbeya Jiji

Chanzo: ARI Uyole, 2012

1.2 Hali ya mvua

Mvua hutegemewa kunyesha kati mwezi Oktoba na Mei kwa kiwango cha kati ya milimita 650 mm kwa mwaka katika ukanda wa chini na milimita 2,600 kwa mwaka katika Ukanda wa Juu. Kwa msimu wa 2015/2016, mvua zilianza kunyesha katikati ya  mwezi Novemba  ikilinganishwa na msimu wa 2014/2015 ambapo mvua zilianza kunyesha mwezi Oktoba. Mkoa umepata mvua za wastani katika Wilaya zote na baadhi ya maeneo ya Wilaya za Chunya, Mbarali na Kyela yamepata mvua za wastani na chini ya wastani.

1.3  Uzalishaji wa Mazao ya Kilimo

Uzalishaji wa mazao ya chakula katika msimu wa 2015/2016 ulifikia tani  3,627,191 , mahitaji ya chakula katika Mkoa ni tani 609,210, hivyo kulikuwa na ziada ya tani  3,017,981. Lengo kwa mwaka 2016/2017 ni kulima hekta 556,374 na kuzalisha tani 4,053,708.

Hali ya Mazao Mashambani

Hali ya mazao mashambani na uvunaji kwa baadhi ya mazao makuu katika Kanda mbalimbali ni kama ifuatavyo:-

  1. Mahindi

Katika Wilaya za Mbeya, Rungwe baadhi ya mahindi yapo katika hatua ya ukuaji na maeneo mengine ya Mkoa mahindi yanaendelea kupandwa kutokana kuchelewa kuanza kwa mvua. 

  1. Maharage

Maharage yaliyopandwa mwezi Novemba katika baadhi ya maeneo yameendelea kukua. Hali ya mazao yaliyopandwa kuanzia mwezi Novemba ni nzuri huku huduma za kupalilia na udhibiti wa visumbufu vya mazao unaendelea vizuri.

  1. Njegere

Uvunaji wa njegere unaendelea katika maeneo mengi ya Mkoa, na upatikanaji wake sokoni ni wa kuridhisha.

  1. Viazi Mviringo

Uvunaji wa viazi unaendelea katika baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Mbeya na Rungwe kwa viazi ambavyo vilipandwa mwezi Septemba, 2016.   Mazao yaliyopandwa  kuanzia Desemba 2016 yanaendelea vizuri.

  1. Viazi Vitamu

Zao hili lipo katika hatua ya ukuaji na katika maeneo mengine ya mkoa bado wakulima wanapanda.

Matangazo

  • Fomu za Maelekezo kwa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2021 Shule za Mkoa wa Mbeya (Joining Instructions) June 07, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 Mkoa wa Mbeya. December 18, 2020
  • Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji March 11, 2021
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • "Wananchi Tushirikiane kutokomeza ukatili wa Kijinsia" Rc Homera

    December 02, 2022
  • Wakuu wa Wilaya Mbeya wasaini Mkataba wa Afua za Lishe

    October 11, 2022
  • RC HOMERA AWATAKA ASKARI WA BARABARANI KUWACHUKULIA HATUA MADEREVA WANAOKIUKA SHERIA.

    September 15, 2022
  • Mbeya Vinara Mchezo wa Mpira wa Miguu UMISETA NA UMITASHUMTA

    August 24, 2022
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025 2503034

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2019 Mbeya Region . All rights reserved.