• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Halmashauri na Madhehebu ya Dini Waingia Mkataba

Imetumwa : January 30th, 2018

Halmashauri  za Mkoa wa Mbeya, GIZ  na Taasisi za dini zinazoendesha Hospitali na Vituo vya Afya vilivyoingia ubia na Serikali Mkoani Mbeya wamejaza mikataba ya utoaji huduma za Afya.

Akifungua zoezi la kuandikishana mikataba,Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Amos Makalla aliyataja madhehebu ya kidini kuwa na mchango mkubwa katika utoaji huduma kwenye Sekta za Elimu na Afya hatua aliyosema inaipunguzia kwa kiasi kikubwa mzigo Serikali.

Mhe Makalla amesema uwepo wa Hospitali,Vituo vya afya,Shule za msingi na sekondari pamoja na vyuo vinavyomilikiwa na Madhehebu ya kidini umeweka chachu ya utoaji huduma bora kwa wananchi.

Amesema Serikali ya mkoa itazidi kuhakikisha kunakuwepo na ushirikiano wa pamoja baina yake na Madhehebu yanayoonesha nia ya kushiriki shughuli za kijamii na iwapo tatokea kiongozi katika ngazi ya wilaya anayetaka kufifisha mahusiano hayo basi hatua stahiki zitachukuliwa dhidi yake.

Amewataka pia Wenyeviti wa Halmashauri kusimamia mikataba iliyosainiwa  kwa ufasaha ili kutoa wavunja moyo wadau walioamua kuingia ubia na serikali katika utoaji huduma kwa wananchi.

“Na sisi viongozi wa Serikali huko tulipo tusiwe wavivu wa kuunga mkono jitihada zinazofanywa na wadau wetu.Kama unasikia madhehebu haya ya kidini yana mgogoro wa ardhi fanya upesi kwenda kutatua maana maeneo hayao hayo wanayolumbana ndiyo watafanya uwekezaji” Mhe Makalla

Mshauri wa mpango wa PPP wa Shirika la GIZ Ndugu Erick Msoffe alisema Shirika hilo litahakikisha wadau wa Sekta ya Afya wanaohusika na mikataba iliyoingiwa baina ya pande hizo wanakutana katika kila robo  ya mwais wa fedha ili kujadiliana kwa pamoja juu ya utekelezaji wa majukumu

Matangazo

  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji March 11, 2021
  • Fomu za Maelekezo kwa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2021 Shule za Mkoa wa Mbeya (Joining Instructions) June 07, 2021
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • RC HOMERA AZUNGUMZA NA WAFANYAKAZI WA HOSPITALI YA RUFAA KANDA MBEYA

    September 18, 2023
  • RC HOMERA ATEMBELEA KITUO CHA STAREHE NA BURUDANI MBEYA( MBEYA CITY PARK)

    September 17, 2023
  • RC HOMERA AWATUNUKU TUZO NA VYETI WAKIMBIZA MWENGE KITAIFA 2023

    September 14, 2023
  • KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE AZINDUA MRADI WA MAJI KIBAONI MBARALI

    September 11, 2023
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025 2503034

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa