• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Maji
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

HJF Medical Research International Provide Medical Equipment for 5 Regions of Southern Highlands

Imetumwa : March 21st, 2017


PEPFAR (Partnering Achieve Epidemic Control in Tanzania) kupitia Shirika la Henry Jackson Medical Research International (HJFMRI) wamekabidhi vifaa vya minyororo baridi vyenye thamani ya sh. 266,195,970 sawa na Dola za Kimarekani 121,215 kwa ajili kusaidia kutunza sampuli za na kufikisha maabara zikiwa bado na ubora unaotakiwa na baadae kupata majibu yaliyo sahihi.

Akipokea vifaa hivyo Katibu Tawala Msaidizi Mamlaka ya Serikali za Mitaa kwa niaba ya Katibu Tawala wa Mkoa Bw. Constantine Mushi amewashukuru PEPFAR kupitia Shirika la HJFMRI kwa kazi kubwa wanayofanya katika Mikoa ya Mbeya, Songwe, Ruvuma, Rukwa na Katavi kwa takribani miaka 13.

Bw. Mushi amesema kuwa Serikali chini ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ilianzisha utaratibu wa kupima wingi wa VVU katika damu kwa wateja wanaotumia dawa za kufubaza virusi vya UKIMWI ikiwa ni sehemu ya Mkakati wakuzuia Maambukizi ya VVU na kuboresha huduma za  UKIMWI.

“ Katika shughuli ya kupambana na maambukizi ya VVU baadhi ya Hospitali  na Vituo vya Afya vimechaguliwa kama vituo vya kukusanyia sampuli  za damu kutoka vituo vidogo kwa hiyo vifaa hivi vimekuja wakati muafaka kuwezesha Hospitali na Vituo vya Afya kupokea sampuli zikiwa salama na zenye ubora kwa ajili ya kupima wingi wa VVU”.

Bw. Mushi amewaagiza Waganga Wakuu wa  Mikoa na Wilaya kuendelea kuhamasisha jamii kujitolea kupima Afya zao na kwa wale wote walio katika dawa za kufubaza VVU kupimwa wingi wa virusi ili kuweza kuwa na jamii isiyo na maambukizi.

Naye Mganga Mkuu wa Mkoa amewataka Waganga Wakuu wa Wilayakutunza na kusimamia vifaa hivyo na kuhakikisha vinafika  hospitali zao kwa ajili ya matumizi husika na hivyo, Aidha amewataka Waganga wakuu wa Wilaya kutenga bajeti kila mwaka kwa ajili ya kufanyia matengenezo vifaa hivyo kwa wakati.

PEPFAR (Partnering Achieve Epidemic Control in Tanzania) kupitia Shirika la Henry Jackson Medical Research International (HJFMRI)umekabidhi Majokofu93, Centrifuge mashine 40 naMajokofu madogo ya kubebeba sampuli 40 kwa Mikoa ya Mbeya, Rukwa, Ruvuma, Songwe na Katavi

Matangazo

  • Fomu za Maelekezo kwa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2021 Shule za Mkoa wa Mbeya (Joining Instructions) June 07, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 Mkoa wa Mbeya. December 18, 2020
  • Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji March 11, 2021
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Katibu Mkuu Dkt. Jingu: Jamii ipewe elimu kuhusu Anwani za Makazi

    May 18, 2022
  • DKT. JINGU APONGEZA ZOEZI LA ANWANI ZA MAKAZI MKOANI MBEYA

    May 17, 2022
  • Waziri Nape aupongeza Mkoa wa Mbeya katika zoezi la Anwani za Makazi

    May 13, 2022
  • Rc Homera atatua mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa miaka miwili

    May 13, 2022
  • Tazama Zaidi

Video

RC Atoa Onyo Kuelekea Uchaguzi
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025 2503034

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2019 Mbeya Region . All rights reserved.