• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kamati ya Siasa Mkoa Yapongeza Uongozi wa Mkoa

Imetumwa : February 22nd, 2020

Kamati ya Siasa ya Mkoa ikiongozwa na Mwenyekiti Mch. Jacob Mwakasole ameupongeza uongozi wa Mkoa pamoja na Halmashauri zake kwa usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo na utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.                                                                                Mchungaji Mwakasole ameyasema hayo leo kwenye majumuisho ya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ya Halmashauri na kukiri  kufurahishwa na ubora wa miradi waliyoikagua katika halmashauri zote saba za Mkoa wa Mbeya.                                                                                     “ tumefurahi kuona Viongozi na wataalamu wanatusaidia kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhakikisha kile tulichoahidi wananchi kimetekelezwa kwa asilimia kubwa na hivyo kuturahisishia majibu kwa wananchi” Mchungaji Mwakasole                                              Mchungaji Mwakasole amesema kuwa ziara hiyo ina lengo kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo kama ilivyoahidiwa na chama cha mapinduzi (CCM) wakati wa kampeni za uchaguzi za mwaka 2015 kwa lengo la kujua utekelezaji wa ilani ya chama katika halmashauri ya wilaya ya Mbeya.

“Niwapongezi kwa usimamizi mzuri wa majengo haya kwa uaminifu kwani majengo haya yanaakisi fedha zilizotolewa , watu mmefanya vitu vyenye uhakika sisi kama mkoa tumeridhika na hiki tulichokiona, umoja wenu unadhiilisha kuwa mpo vizuri, asanteni wote kwa kazi nzuri.” Mwakasole.

Naye katibu wa CCM Mkoa wa Mbeya ndg. Solomoni Itunda amesema kuwa miradi hiyo itakapokamilika kipaumbele kiwe katika kuhudumia wananchi wanyonge.

“Miradi hii imejegwa kwa gharama kubwa kwa ajili ya wanyonge hivyo kama kuna mtu amekuja kutibiwa na hana fedha za matibabu atibiwe kwanza mengine baadaye na kwa upande wa wanafunzi sitegemei kuona mwalimu anamfukuza mwanafunzi kwa kosa la kutokulipa ada, mkamate mzazi wake mkubaliane ni kwa jinsi gani mtablipa hizo ada lakini si kwa kumsimamisha mwanafunzi masomo”. Itunda                                                                               Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Albert Chalamila ameishikuru kamati ya siasa kwa ushirikiano wao na kuahidi kuendelea kusimamia kwa makini zaidi miradi hiyo katika kuunga mkono juhudi za Mhe Rais John Magufuli

Katika ziara ya kamati ya CCM mkoa wa Mbeya miradi iliyotembelewa ni miradi ya Afya, Elimu, Miundombinu, Kilimo na uwezeshaji wa wananchi kiuchumi 

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa