• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

KIONGOZI WA MBIO ZA MWENGE 2024 AWEKA JIWE LA MSINGI KITUO CHA AFYA KIWIRA

Imetumwa : August 27th, 2024

Kituo Cha Afya Cha Kata ya Kiwira Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya kimewekewa Jiwe la Msingi na Kiongozi wa Mbio za Mwenge Ndg: Godfrey Mnzava na kuwataka Wataalam kuwa waaminifu katika Utoaji Huduma huku Wananchi wakiaswa kuitunza Miundombinu ya Kituo hicho ili kiwafae wao na Uzao wao.

Kituo hicho kinachojengwa kimegaharimu kiasi Cha Shilingi 500,000,000 Fedha Kutoka Serikali kuu ambapo ni sehemu ya Kuunga jitihada za Wananchi ambao wao ndio waliaanzisha Kazi hiyo ya Ujenzi na hadi Kukamilika kwa Ujenzi wake Kituo kinatarajiwa kugharimu Jumla ya Fedha 558,271,594.

Mradi huu unajengwa kupitia mfuko wa manunuzi(Force Account) ambapo Miundombinu inayojengwa ni Pamoja na Jengo la Maabara Jengo pacha la Wazazi na upasuaji, kichomea taka, Jengo la kufulia choo Cha Wagonjwa wa Nje Pamoja na Jengo la Wagonjwa wa Nje.


Mradi Ulianza Kutekelezwa mnamo Tarehe 1/12/2023 na ilitarajiwa Kukamilika Tarehe 30/05/2024 ingawa mpaka Sasa haujakamilika na hii ni kutokana na Changamoto za Mifumo ya Malipo Kushindwa kufanya Kazi kwa Wakati Taarifa ya Mkurugenzi Mtendaji wa Rungwe imeeleza.


Mwenge wa Uhuru Unaendelea na Ziara ya kumulika Miradi Mbalimbali Mkoani Mbeya mpaka Tarehe 30 ambapo utakabidhiwa Mkoani Songwe Tarehe 31.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa