• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Aingia Mkataba na Wakuu wa Wilaya

Imetumwa : January 4th, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Amos Makalla ameingia Mkataba na Wakuu wa Wilaya akiwataka   kuhamasisha  ujenzi wa zahanati na vutuo vya Afya na wananchi kujiunga  na  ya afya  (CHF )

Hayo  yamejiri  Leo  ktk kikao kazi  cha  Wakuu  wa Wilaya, Wakurugenzi,  Waganga  wa Wilaya  na Watendaji wa Kata  zote Mkoa wa Mbeya.

Mhe. Makalla amesema kuwa  uboreshaji  afya  ya msingi  ni utekelezaji  wa Ilani  ya uchaguzi  chama cha mapinduzi  Ibara  ya 49 na 50(a)i

Amesema kwamba mkataba wa uhamasishaji ujenzi wa Zahanati  na vituo  vya Afya ni njia ya kuwa bana  viongozi   na watendaji  kufuatilia utekelezaji wa Ilani  kwa vitendo

-Mhe. Makalla amesema kuwa mpaka sana Mkoa  wa Mbeya  una Vijiji  533  na Kata  178 ni Vijiji  233 sawa na asilimia  43% ndiyo  vyenye  Zahanati na  Vituo  25 sawa na asilimia  14% kuna vituo  vya Afya

Aidha , Mhe Makalla ametangaza mashindano  Vijiji na Kata  vitapata  MABATI  ya kuezekea  kupitia Ofisi ya Mkuu  wa Mkoa  kwa kushirikisha  Wadau  na Halmashauri  ktk Wilaya  zote kwa Lengo  kufikia  mwaka  2020  zaidi  ya asilimia 80% ya vijiji  na kata  kuwa na Zahanati  na vituo  vya Afya

Faida  ya kuboresha  afya  ya msingi ni pamoja na wananchi  kuwa na uhakika  wa  huduma ya afya,  wananchi  kutokutumia  muda  mwingi  kufuata  huduma ya Afya,  kupunguza umbali  kufuata  huduma afya , huduma ya mama na mtoto  Kabla  na Baada ya kujifungua  , kudhibiti  magonjwa  ya mlipuko  na  elimu  na udhibiti ugonjwa  wa ukimwi

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa