• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa Mkoa Atoa Wiki Moja Kwa Uongozi wa Halmashauri Kukamilisha Upanuzi wa Chumba cha Kuhifadhia Maiti

Imetumwa : July 8th, 2019

Na Esther Macha ,Rungwe


MKUU wa Mkoa wa Mbeya ,Albert Chalamila ametoa wiki moja kwa uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe kukamilisha upanuzi wa chumba cha kuhifadhia maiti pamoja na

jengo la kufulia nguo katika kituo cha afya Ikuti ambacho ujenzi wake umeonekana kusuasua licha ya serikali kutoa fedha .

Mkuu Huyo wa Mkoa alisema hayo Jana wakati wa ziara yake ya kukagua kituo hicho cha afya kilichopo wilayani humo.

Aidha Chalamila  alimwagiza Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo Loema Peter kufuatilia kwa makini kama kweli mafundi ujenzi wanaojenga majengo hayo kama  wamelipwa fedha zao .

"Kumekuwa na tatizo la ukorofi .kwa mafundi wakuu kutowalipa fedha mafundi wadogo Mkurugenzi angalia hili"alisema Mkuu wa Mkoa.

Alisema mashine hizo zilizoletwa na serikali zimekaa nje kwa miezi.mitatu hili liwe la mwisho na halivumiliki.

Aidha Chalamila alisema kutokamilisha vituo vya afya ni uzembe mkubwa hasa ukizingatia fedha hizi zimetolewa na serikali kwa muda mrefu sana na kuwa viongozi wakiwa wakweli ujenzi ungekuwa umekamilika.

"Leo nimekuja kutoa onyo la kwanza lakini kwakuwa mnaendelea na kazi siwezi kusema chochote ila siku ya ijumaa endapo nitakuja majengo yakiwa hajakamilika nitachukua hatua kubwa mh Rais magufuli ametoa fedha hizi kwa ajili ya ujenzi wa vituo vya afya lakini kwa kitendo hiki cha kusuasua kinatia uchungu sana "alisema Mkuu huyo wa Mkoa.

Mkuu wa wilaya ya Rungwe ,Julius Chalya alisema kilichopo kwa ujenzi wa vituo vyote hivyo ni uzembe na usimamizi mbovu pamoja na usikivu wa kutozingatia maelekezo wa ujenzi wa vituo vya afya.

Alisema Mkurugenzi ndio alitakiwa kusimamia ujenzi huo lakin cha ajabu mafundi walifanya Nazi kiholela na mpaka diwani nae kutafuta mafundi wake.

Akitoa ufafanuzi wa ujenzi huo,Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri hiyo ,Loema Peter alisema kwamba sababu ya kuchelewa kuanza ujenzi huo ni kutokana na fedha za ujenzi wa hospitali ni mapato ya ndani na kuwa taratibu zinachukua muda mrefu.

Aidha Mkurugenzi huyo alisema kuwa huo si muda wa kulaumiana halmashauri imeleta.mil50,ili kuendeleza ujenzi huo na kama tukiendelea kukwaluzana nani kafanya nini hatuwezi kufika popote.

Naye Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe ,Ezekiel Mwakota alisema Mkurugenzi wa halmashauri asijitete  kabisa maagizo yanayotolewa na serikali yawe yanafanyiwa kazi yasisubiri uongozi wa juu unapokuja ndo wanaanza kufanya.



Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa