• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Maji
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

PS 3 Project Conduct Councilors Trainding in Mbeya

Imetumwa : May 11th, 2017

Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe. William Ntinika amewataka Madiwani wa Halmashuri za Mbeya kutumia mafunzo elekezi ya Mradi wa PS 3 kama yalivyokusudiwa kwa kuhakikisha wanapata uelewa na maarifa kuhusu uendeshaji wa Serikali za Mitaa, pamoja na wajibu na majukumu yao katika kusimamia uendeshaji wa Mamlaka hizo.

Mhe. Ntinika ameyasema hayo kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya wakati wa ufunguzi wa Semina Elekezi kwa Wakuu wa Wilaya, Wenyeviti wa Halmashauri Wakurugenzi, Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakuu wa Idara kutoka Halmashauri za Rungwe, Mbarali, Kyela, Mbeya Jiji na Mbeya DC chini ya Mradi wa Uimarishaji wa Mifumo ya Sekta za Umma (PS 3) unaofadhiliwa na Watu wa Marekani chini kupitia Shirika la Kimataifa la Maendeleo (USAID)

Mhe Ntinika amewashukuru Wafadhili hao kwa kuleta mafunzo hayo ya Madiwani Mkoa wa Mbeya kwa kuwa ni mradi wa kipekee kwa sababu unagusa maeneo ya mifumo ambayo ni  maeneo mtambuka kwa sekta zote, kinyume na mazoea ya miradi ambayo inalenga sekta moja.

Mhe. Ntinika  amesema kuwa mafunzo hayo  yanalenga kuwajengea uwezo waheshimiwa Madiwani katika masuala ya Usimamizi wa Fedha, Uibuaji wa Vyanzo vya Mapato na Usimamizi wa Manunuzi ya Umma katika Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kusaidia utekelezaji wa kazi za manunuzi ya umma kuwa katika kiwango chenye ubora, usahihi na kuzingatia thamani ya fedha.

Aidha, Mhe. Ntinika amesema kuwa mafunzo haya yatawasaidia na kuwajengea uwezo Madiwani wa kuhoji na kusimamia mambo mbalimbali katika halmashauri kupitia vikao   lakini pia yatawawezesha kujifunza mbinu za ushirikishaji na uhamasishaji wa jamii kushiriki katika kuibua na kusimamia miradi ya maendeleo

Naye Dr. Peter Kilima Mkurugenzi wa Mradi wa PS 3 amesema kuwa Mradi upo katika kufanya kazi na Mbeya katika kuimarisha mifumo ya umma na kuhakikisha Wawakilishi wa wananchi wanatimiza wajibu wao kwa kuwashirikisha wananchi ili waende na kasi ya Serikali yao na  kazi zitendeke wananchi wapate huduma na kuweza kupata maendeleo.

Mradi huu ulianzishwa na Serikali 2 ya Marekani na Tanzania kukaa pamoja kwa ajili ya kuweza kusaidia katika kuimarisha mifumo ya umma. Mradi huu ni wa Miaka 5 kuanzi 2015 mpaka 2025 unashirikiana na wadau wa  Nchi kama Mkapa Foundation, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chuo cha Serikali za Mitaa Homboro na Tanzania Mentors  Association.

Matangazo

  • Fomu za Maelekezo kwa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2021 Shule za Mkoa wa Mbeya (Joining Instructions) June 07, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 Mkoa wa Mbeya. December 18, 2020
  • Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji March 11, 2021
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Katibu Mkuu Dkt. Jingu: Jamii ipewe elimu kuhusu Anwani za Makazi

    May 18, 2022
  • DKT. JINGU APONGEZA ZOEZI LA ANWANI ZA MAKAZI MKOANI MBEYA

    May 17, 2022
  • Waziri Nape aupongeza Mkoa wa Mbeya katika zoezi la Anwani za Makazi

    May 13, 2022
  • Rc Homera atatua mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa miaka miwili

    May 13, 2022
  • Tazama Zaidi

Video

RC Atoa Onyo Kuelekea Uchaguzi
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025 2503034

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2019 Mbeya Region . All rights reserved.