• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RC aamuru Kukamatwa kwa Diwani na Mtendaji Kata

Imetumwa : October 22nd, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila aamuru kuwekwa ndani masaa 24 Diwani wa Kata ya Isanga Amon Mwalwiba (CHADEMA) na Mtendaji wa Kata Ndg Robin Nzowa kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha  zilitolewa na Halmashauri ya Jiji la Mbeya kwa ajili ya Ujenzi wa vyoo shule ya Msingi Ilolo.

Mhe Chalamila ameagiza hayo leo kwenye mkutano wa hadhara Kata ya Isanga  baada ya wananchi wa kata hiyo kulalamikia matumizi mabaya ya fedha  hizo kupelekea mradi wa ujenzi wa vyoo vya shule ya Ilolo kutokamilika mpaka sasa.

“Hoja walizozitoa wananchi ni za msingi, OCD kamata Diwani na Mtendaji ili wakatoe maelezo ya matumizi ya fedha hizo na naunda tume ya wataalamu ambao kesho watakuja kufanya ukaguzi wa matumizi ya fedha na jengo”  amesema Chalamila

Mhe Chalamila amesema kuwa pamoja na kuwaweka ndani ikidhibitika kama kweli wamrtumia fedha hizi kinyume na taratibu hatua kali za kisheria zitachukuliwa juu yao.

Ofisa Elimu Kata ya Isanga Israel Obed amesema halmashauri ilitoa sh, 2.5m kwa ajili ya ujenzi wa vyoo shule ya msingio Ilolo baada ya vyoo vya awali kuharibika na hakuna mjumbe kutoka baraza la kata aliyeshirikishwa katika matumizi ya fedha hizo.

Obed amesema katika kuhoji matumizi ya fedha hizo Mtendaji wa kata alikiri kutumia shilingi 460,000 kwa matumizi yake binasfi na kuomba muda wa wiki mbili kutafuta na kuzirudisha na fedha kiasi cha sh. 1.4m hazikutolewa majibu ya matumizi yake na diwani.

Akijibu tuhuma hizo Mtendaji wa Kata Nzowa aliahidi kuzirudisha fedha hizo kwenye akaunti ya kata.

Mwalimu Mkuu wa Shule ya Ilolo Bibi Shukuru Mbogela amesema hakuhusishwa katika ujenzi wa vyoo katika shule yake lakini alipokea malalamiko ya mafundi kutokulipwa fedha za ujenzi na baadhi ya vifaa vya ujenzi.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa