• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RC Homera Atoa Maagizo kwa Wakuu wa Wilaya

Imetumwa : June 22nd, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi leo amemuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dr Rashid Chuachua na kuwatambulisha Wakuu wa Wilaya ya Kyela na Rungwe

Akiongea katika halfa iliyofanyika leo katika viwanja vya ofisi ya Mkuu wa Mkoa ametoa Maagizo kwa Wakuu wa Wilaya

  • Kufuatilia miradi ya maendeleo katika sekta za elimu, Afya, barabara nk. iliyopo kwenye taasisi za Serikali ndani ya Wilaya na Miradi ya Kimkoa na kitaifa
  • Kusimamia utoaji na urudishaji wa fedha za 10% za Mikopo ya Wanawake, Vijana na Walemavu na kutoa siku 5 kuanzia leo fedha zote za 10% ziwe zimetolewa kwa 100%
  •  Kuhamasisha wananchi kujiunga na iCHF katika wilaya zao na kuhakikisha huduma nzuri na upatikanaji wa dawa katika zahanati na vituo vya Afya
  • Kuhakikisha fedha zinazotolewa kwa kaya maskini (TASAF) zinawafikia walengwa kwa kufanya tathmini ya kujua ni nani anavigezo vya kuwa mnufaika
  • Kuandaa na kuhakiki taarifa za miradi mbalimbali za viongozi wa ngazi za Kitaifa na Kimkoa ya maendeleo ya Serikali na Taasisi Binafsi inayotekelezwa katika Wilaya
  • Kuunda ‘task force’ kwaajili ya ukaguzi kwenye maduka ya madawa na kufuatilia watumishi wanaoiba madawa kwenye vituo vya Afya na Zahanati
  • Kutengeneza mfumo wa kudhibiti upotevu wa madawa katika zahanati na vituo vya Afya kumekuwa na usimamizi mbovu zipo dawa zinapotea kwenye hospitalizations kwenda kwenye maduka ya madawa na kupunguza misamaha ya kupata dawa
  • Kuhakikisha mfumo wa GoT- HoMIS unafungwa kwenye zahanati na vituo vya afya
  • Kusimamia mikataba ya lishe. Kutoa miezi 6 kupunguza asilimia za udumavu katika Mkoa
  • Kuhakikisha halmashauri zinatenga na kutoa bajeti kwa ajili ya utekelezaji wa masuala ya lishe
  • Kuanzisha vyanzo vipya vya mapato na kutotegemea chanzo kimoja
  • Kusimamia matumizi ya TEHAMA kwenye ukusanyaji wa mapato kwa kuhakikisha halmashauri inatumia mashine za kukusanyia mapato
  • Kuweka mpango mkakati wa kuinua kiwango cha ufaulu katika Mkoa kufikia 95% ngazi ya msingi na sekondari 
  • Madarasa yote yanayojengwa kuanzia sasa yawekwe malumalu na mabati ya rangi ya kijani
  • Kuwa na ushirikiano na Wakurugenzi na Wenyeviti wa Halmashauri pamoja viongozi wa taasisi zilizopo kwenye maeneo ya

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa