• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RC Mbeya amepiga marufuku Kuwatoza Wafanyabiashara Ushuru wa 15000

Imetumwa : March 12th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila ameiagiza halmashauri ya Jiji kutotoza ushuru wafanyabiashara wadogo wenye vitambulisho vya ujasiriamali walipanga bidhaa zao kwenye vizimba ndani ya Soko Kuu la Mwanjelwa.

Mhe. Chalamila ameyasema hayo leo alipokuwa Akiongea na wafanyabiasha na wamachinga wa maeneo ya soko kuu la mwanjelwa, Bustani ya Sido na Kabwe na kusema kuwa Mhe. Rais alishafuta kodi hizo.

“Wale wote wenye vitambulisho vya ujasiriamali na wamepanga bidhaa zao kwenye vizimba ndani ya soko kuu la Mwanjelwa wasidaiwe fedha na Mkurugenzi ya ushuru wa vizimba ambayo ni 15,000 kwa mwezi na 500 kwa siku kwa kuwa fedha hiyo imefutwa”. Mhe. Chalamila

Awali Mhe Chalamila alianza kwa kusikiliza maoni ya wafanyabiashara namna ya kuboresha soko na kuvutia wateja na msongamano wa watu. Wafanyabiashara hao waliondolewa kwanye vibanda vya nje ya soko hilo  na kuingizwa ndani

Bibi Zainabu Majid mfanyabiashara mdogo ameuomba uongozi wa Jiji  kutengeneza mazingira maarufu kwa kuweka mgawanyiko wa bidhaa ndani ya soko hilo kwa sababu soko hilo halina wateja wengi na kukosa biashara kabisa na kushindwa kulipa ushuru wa kizimba kwa mwezi.

“Kuna hali ngumu sana kwenye soko hili, naomba nishauri halmashauri ya Jiji kuweka mgawanyo wa bidhaa kama tunaweza kuweka soko la mazao au soko la mitumba au bidhaa za ndani kama wanvyofanya soko la Kariakoo”. Bibi Majid

Naye Mkureugenzi wa Halmashauri ya Jiji Mrakibu Mwandamizi wa Polisi, SSP James Kasusura…. Alisema atatekeleza maagizo hayo na wafanyabiashara hao hawatalipishwa ushuru wowote kutoka halmashauri ya Jiji.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa