• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Rice Fields Investors Required to Clean up the Water Drainage

Imetumwa : April 23rd, 2017

Kikosi Kazi cha Kitaifa cha kunusuru mto Ruaha kimeagiza wawekezaji wa mashamba ya mpunga Wilayani Mbarali kusafisha mifereji ya matoleo ya maji kwenda Mto Ruaha ili kuongeza kiwango cha maji yanayoelekea katika bwawa la Mtera na Kidatu.

Wakiongea kwa nyakati tofauti Wajumbe wa Kikosi Kazi hicho wa,elaumu Wawekezaji wa Mahamba ya Madibira, Mbarali Estate na Kabunga Farm kuacha kwa makusudi kusafisha Matoleo ya Maji  ambayo imejaa magugu maji na Masangu na kuzuia maji kutiririka kuelekea Mto Mbarali na Ruaha.

Katibu Tawala Msaidizi Miundombinu Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Jeeremia Minja ambaye ni Mjumbe wa Kikosi Kazi hicho amesema kuwa uchafu wa mifereji ya matoleo unasababisha Maji kutofika katika mto Ruaha na kusababisha upungufu wa maji katika Bwawa la Mtera na Kidatu hivyo kusababisha Upungufu wa uzalishaji wa umemem Kitaifa.

Bw. Minja amesema kuwa ni muhimu kuwachukulia hatua Wawekezaji wa mashamba hayo kwa kuwapiga faini kwa mujibu kwa kuisababishia Serikali hasara kubwa ya kuendesha mitambo ya umeme laini pia kwa kuzingatia sheria za mazingira.

Wakati huo huo Kikosi Kzi hicho kimesikitishwa na Wawekezaji hao kutolinda matoleo ya Maji yaendayo Mto Mbarali , Ndembele inayopelekea Maji Mto Ruaha na kuruhusu wananchi kuchepusha maji kwenda katika mashamba hayo bila kibali cha matumizi ya maji hayo.

Hii imepelekea Maji kutorudi katika Mto Ruaha na kuruhusu wananchi wa Wilaya ya Mbarali kutumia maji bila vibali ambapo inapelekea upungufu wa maji katika Bwawa la Mtera ambalo linauhitaji wa maji kwa wingi.

Aidha, Wawekezaji hao pia wameonekana kutofanya ukaguzi wa mazingira kwa ajili ya Kilimo kutokana na sheria ya mazingira ambayo inawapa Wawekezaji au watumiaji maji  wajibu wa kurejeshwaj wa maji kwenye chanzo cha maji yalikochukuliwa baada ya kuyatumia na kuhakikisha kuwa maji yaliyorejeshwa kwenye chanzo chochote kilichoelezwa hayakuchafuliwa.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa