BALOZI wa Korea nchini Tanzania Song, Geum Young amesema nchi yake itaendelea kushirkiana na serikali Tanzania ktk kuboresha sekta za Afya elimu, na sasa watajielekeza zaidi ktk kuboresha miundombinu ya barabara na biashara ya mazao ya kahawa na Tumbaku
Bw. Young ameyasema hayo leo wakati wa Mazungumzo na Mkuu wa mkoa wa Mbeya
Naye Mkuu wa Mkoa Mhe. Amos Makalla ameishukuru Serikali ya Korea kupitia shirika la Koica kwa kusaidia Sekta YA Afya na Elimu mikoa wa Mbeya kwa kuleta watalaam , Vifaa na fedha ktk kuboresha Afya na Elimu.
2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA
Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.
Simu: 025-2504045
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras@mbeya.go.tz
Haki MilikiĀ©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa