• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Serikali za Vijiji Zatakiwa Kutenga Maeneo ya Malisho

Imetumwa : March 4th, 2020

Mipango ya Matumizi Bora ya Ardhi ya Vijiji ni moja ya mipango mkakati ya utekelezaji utakaohakikisha wakulima wadongo na wafugaji wananufaika na sera ya uwekezaji kati ukuaji wa maaendeleo ya uchumi nchini.

Kauli hiyo imetolewa na Afisa Mipango Miji  Bw Geoffrey Mwanjobele wakati utoajia elimu wa kujenga ujirani mwema kati ya wananchi na hifadhi na kuwashauri wafugaji kutenga maeneo kwaajili ya malisho ya mifugo

Bw. Mwanjobele amesema  kuwa Serikali ya kijiji kupitia kamati ya upangaji wa matumizi bora ya ardhi  Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali yatakiwa kuhakikisha inatenga maeneo ya malisho ya mifugo ili kuondokana na tabia ya wananchi kupeleka mifugo yao ndani ya maeneo ya hifadhi.

" Kuna kitu hakijakaa sawa kwetu sisi wafugaji, sisi ni wafugaji na wakulima lakini tunakumbuka kutenga eneo la kilimo na kusahau kutenga eneo kwaajili ya malisho ya mifugo yako".

Afisa Tawala wa Wilaya Bibi Oliver Sulle ameiambia Serikali ya kijiji kuwa ndio wenye mamlaka ya kupanga na kubadili matumizi bora ya ardhi ni kijiji na kuwataka wafugaji kuhudhuria mikutano ya Vijiji ili waweze kutetea kupata maeneo yao.

Naye  Jafari Mangula mwanakijiji wa Mapogoro Kata ya Mapogoro ameiomba Serikali kuongeza maeneo ya malisho kwa sababu mifugo imekuwa mingi sana

Elimu hiyo imetolewa na Wataalamu kutoka  taasisi za TANAPA, TAWA, TFS, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Ofisi ya Mkuu wa Wilaya na Ofisi ya Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mbarali

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa