• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Tengenezeni Mazingira mazuri ya Uwekezaji - Kigahe

Imetumwa : January 26th, 2022

Kauli  hiyo imetolewa leo na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe alipokuwa anafungua kikao cha Kamati za Ulinzi na Usalama za Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kilichofanyika katika ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mbeya.

“Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizosaini makubaliano ya kufanya biashara bila mipaka barani Afrika na kwamba tangu kusainiwa kwa mkataba huo Watanzania wanaruhusiwa kufanya biashara zao  ndani na nje ya mipaka ya Nchi.” Alisema Kigahe.

Mhe. Kigahe aliwashauri viongozi hao kutengeneza mazingira mazuri ya uwekezaji kupitia fursa mbalimbali zilizopo katika Mikoa hiyo kama vile bandari za Itunge, Kiwira, Kasanga na Kalema ambazo  zinatumika na wafanyabiashara wa ndani na nje kusafirisha bidhaa zao.

Pia, Mwenyekiti wa Wakuu wa Mikoa Nyanda za juu ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera alisema kikao hicho kina tija katika kuleta maendeleo kwa wananchi kupitia fursa mbalimbali za kibiashara na  kilimo ili kuwakwamua wananchi katika wimbi la umasikini kwa kunufaika na uwekezaji  kupitia mipaka mbalimbali ya nchi.

“Ushirikiano wa kibiashara  katika mataifa mbalimbali sio mzuri na kikao hiki ni muhimu kujadili  mambo ya kufanya ili  kuwezesha Wananchi kufanya shughuli zao bila tatizo lolote ukilinganisha na ilivyo sasa ambapo bado kuna tatizo”. Alisema Homera

Wakuu wa Mikoa nane na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama,  wameshiriki katika kikao cha ujirani mwema jijini  Mbeya kujadili namna ya kuondoa vikwazo vya kibiashara baina ya Tanzania na mataifa jirani pamoja na ulinzi wa mipaka ya nchi ikiwemo Mbeya ambayo ndio mwenyeji, Songwe, Rukwa, Njombe, Iringa, Ruvuma, Katavi pamoja na Tabora ambayo walikuwa wageni waalikwa.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa