• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Maji
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Renovation of Mbeya City Roads

Imetumwa : March 21st, 2017

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Amos Makalla ameiagiza Halmashauri ya Jiji la Mbeya kuanza kusambaza vifusi katika barabara iliyopo Mtaa wa Mkombozi Kata ya Ruanda kabla mvua hazijaanza kunyesha ili kuondoka kero kwa wananchi wa Mtaa huo.

Akizungumza katika ziara yake ya kukagua barabara za Halmashauri ya Jiji Mhe. Makalla amesema kuwa Halmashauri ya Jiji ichukulie ukarabati wa barabara hiyo kama kazi ya dharua nakuingiza katika vikao vya Baraza la Madiwani kuweza kuidhinisha ili kuwasaidia wananchi wa Mtaa huo.

Wakiongea na Mkuu wa Mkoa Wananchi wa Mtaa huo wameuomba  uongozi  wa  Halmashauri  ya  Jiji  kuendelea  kusambaza vifusi vilivyomwagwa katika barabara ya mtaa huo ili visisababishe maji kuingia kwenye nyumba zao. Aidha wananchi hao walishauri kuwa kuwepo kwa makaravati mengi katika barabara hiyo ili kuwezesha maji kupita kirahisi katika mitaro ya maji.

Naye Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ alisema kuwa amepata malalamiko mengi ya Wananchi wa eneo hilo wakati yuko bungeni wakilalamikia barabara hiyo na kuona umuhimu wa kuongozana na Mkuu wa Mkoa katika ziara hiyo.

 Aidha, Mhe. Mbilinyi alimshukuru Mkuu wa Mkoa kwa kushughulikia kero za wananchi kwa kwenda       katika   maeneo   yenye   matatizo   ili   na   yeye   ajionee   na kuwasikiliza kisha kufanya maamuz

Matangazo

  • Fomu za Maelekezo kwa Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga na Kidato cha Tano 2021 Shule za Mkoa wa Mbeya (Joining Instructions) June 07, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 Mkoa wa Mbeya. December 18, 2020
  • Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji March 11, 2021
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Katibu Mkuu Dkt. Jingu: Jamii ipewe elimu kuhusu Anwani za Makazi

    May 18, 2022
  • DKT. JINGU APONGEZA ZOEZI LA ANWANI ZA MAKAZI MKOANI MBEYA

    May 17, 2022
  • Waziri Nape aupongeza Mkoa wa Mbeya katika zoezi la Anwani za Makazi

    May 13, 2022
  • Rc Homera atatua mgogoro wa Ardhi uliodumu kwa miaka miwili

    May 13, 2022
  • Tazama Zaidi

Video

RC Atoa Onyo Kuelekea Uchaguzi
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025 2503034

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2019 Mbeya Region . All rights reserved.