• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

VIJANA TUMIENI FURSA HIZI ZA SERIKALI ZA KUWAWEZESHA KIUCHUMI

Imetumwa : August 26th, 2024

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Wa Uhuru 2024 Ndg: Godfrey Mnzava amewataka Vijana Kuzitumia Vyema fursa za kujikwamua Kiuchumi zinazotolewa na Serikali kupitia Taasisi za Umma na Binafsi na kuepuka tabia za kulalamika kwa Madai ya Kwamba Maisha ni Magumu.

Mnzava ameyasema hayo Wakati akitembelea na kuzindua Mradi wa Kitalu Nyumba Cha kuotesha miche ya Mboga na Matunda kama Nyanya na miti ya matunda ulioanzoshwa na Kikundi Cha Vijana kiitwacho MAKIA Youth Group Mwaka 2024 kikijishughulisha na Utoaji Huduma kwa Wakulima, Ushauri na utunzaji wa Mazingira.

Taarifa ya MAKIA imesema Gharama za Mradi wa Kitalu Nyumba mpaka unakamilika ni TSH. 99,410,000 kutoka kwenye kiasi Cha Sh. 25,410,000 ambacho ni Jumla ya Mapato yaliyopatikana kutokana na Mkopo wa Milioni Tano walizoomba Wahusika Kutoka Bank ya Vision Fund na Milioni 8 zilizochangwa na Wanachama wenyewe.

Utekelezaji wa Mradi huu Umefikia asilimia 30 ambapo Jumla ya Sh. 25,410,000 zimetumika kwaajiri ya Ununuzi wa Vifaa vya Ujenzi, Gharama ya fundi, Ununuzi wa Udongo na Ununuzi wa trey la kuoteshea Mbegu.

Hata hivyo Katika kuendelea kujiimarisha na kujitanua zaidi Kikundi kimeomba Mkopo wa Shilingi 74,000,000 Kutoka Halmashauri kupitia Mfuko wa Wanawake Vijana na wenye Ulemavu.

Ombi hili la Kupatiwa Mkopo limepokelewa Vyema ambapo Kiongozi wa Mbio za Mwenge ameiomba Halmashauri ya Mbarali Zoezi la Utoaji Mikopo itakapoanza Vijana hao waangaliwe katika Namna ya kupatiwa hitaji lao.

Mwenge wa Uhuru 2024 uliobeba Kauli mbiu ya Tunza Mazingira Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa leo Tarehe 26 August uko Wilayani Mbarali na Tarehe 27 utakuwa Wilayani Kyela.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa