• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Watendaji 18 Watakiwa Kurudisha Fedha

Imetumwa : June 14th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Juma Homera leo amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rungwe kuwachukulia hatua Watendaji 18 wanaotuhumiwa kusababisha upotevu wa zaidi ya sh milioni 70 za mapato ya Halmashauri.  

Mhe Homera ameyasema hayo mapema tarehe 14.6.2021 amekutana na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe ambapo ameagiza watendaji hao kurudisha fedha hizo ndani ya siku saba kabla vyombo vya sheria havijawachukulia hatua

“Kumekuwa na tabia ya baadhi  ya wakuu wa idara  kuomba fedha ambayo haijawekwa kwenye akaunti za halmashauri (fedha mbichi) kwa visingizo vya ziara za viongozi, sasa sisi tutakuchukulia hatua wewe mtendaji unayetoa fedha hizo” RC Jomera

Aidha ameipongeza Halmashauri Kwa kukusanya MAPATO Kwa ufanisi  mkubwa hadi kufikia asilimia 93% hali itakayochochea Maendeleo Kwa mwananchi mmojammoja na taifa Kwa ujumla .

" Menejimenti na watumishi wote mmefanya kazi kubwa ya kukusanya mapato, hongera Sana!   Niwaagize sasa watendaji wa kata kuleta marejesho Kwa wakati  kwa kuwa hizi ni fedha za umma"

"Naamini asilimia Saba iliyobaki inaweza kumalizika haraka iwapo ukusanyaji wa MAPATO ukifanyika Kwa bidii Kwa siku chache zilizobaki kufunga mwaka huu wa fedha"

Akimkaribisha Mkuu wa Mkoa, Katibu Tawala Mkoa wa Mbeya Bi. Angelina Lutambi (Kwenye skafu katikakati)  ameomba watumishi wote kutoa huduma bora Kwa wananchi, kuzingatia uadilifu kazini,  kutenda haki ikiwa ni pamoja na kujenga mahusiano mazuri kazini.

Hata hivyo Mkuu wa Wilaya ya Rungwe Mhe. Julius Chalya amesema kuwa watumishi wameendea kufanya kazi Kwa bidii huku miradi kadhaa ikitekelezwa akiutaja mradi mkubwa kupanua Chanzo cha maji Ikama ( MTO Mbaka) ambao utaharakisha usambazaji wa  maji katika Mji wa Tukuyu ambapo katika hatua za awali jumla ya shilingi Million  500 zinatarajiwa kutumika.


Awali Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Bi. Loema Peter amesema kuwa Rungwe ina jumla ya watumishi wenye ajira ya kudumu wapatao 3226 na vibarua 82 na serikali imeendelea kulipa madai ya watumishi mbalimbali  pamoja na promosheni ikiwa ni hatua ya kuongeza ari na ufanisi kazini.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa