• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Watumishi watakiwa Kujitokeza Kupima VVU

Imetumwa : July 14th, 2018

Watumishi wa Serikali Mkoa wa Mbeya wametakiwa kujitokeza kupima maambukizi ya Virusi vya UKIMWI kwa lengo la kutambua afya zao na kuishi kwa furaha kuunga mkono agizo la Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kasim Majaliwa alilotoa kwa Wakuu wa Mikoa.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Mhe. Paul Ntinika alipomwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya kuhamasisha wananume kupima VVU ili watambue Afya zao katika Viwanja Vya Ruanda Nzovwe Jijijni Mbeya

Mhe. Ntinika amesema kuwa ataanza kwa kuwahamasiha watumishi katika halmashauri za Mbeya na Jiji kwa kuanzia ngazi za kata, vijiji ili Jamii ione mfano na kuhamasika kupima na kufikia Malengo ya Serikali kupunguza maambukizi mapya.

“ Ni lazima Watendaji wa Serikali tuwe wa kwanza kuamasika kupima VVU na si kushinikiza Jamii pekee yake kutambua umuhimu wa upimaji. Kwa hiyo nawataka kutakuwa nyuma katika kufanikisha hili” Alisema

Mhe Ntinika amewaomba viongozi wa dini kutumia nafasi zao katika nyumba za ibada kuwahamasiha wanaume  kupima afya zao ili wajitambue na kuishi kwa furaha.

Akisoma taarifa ya Mko kwa niaba ya Katibu Tawala,  Katibu Tawala wa Msaidizi Mipango na Uratibu Bw. Conrad Millinga amewataka Vijana kujikita katika shughuli mbalimbali za Kiuchumi na kwamba Serikali iko bega kwa bega katika kuhakikisha kuwawezesha Kiuchumi.

Bw Millinga amesema kuwa amefurahishwa kuona wasichana balee wa kikundi cha Umoja kutoka Kyela walivyojikita katika ujasiriamali wa kufuma mikeka kutengeneza herein, batiki na Mahitaji mengine ya majumba ambapo kunawasaidia kuepuka vishawishi katika mazingira yao.

Mkoa wa Mbeya unashika nafasi ya 3 kitaifa kuwa na maambukizi ya asilimia 9.3 ikilikanisha na asilimia 5 za Serika ambapo bado Mkoa unaendelea kupunguza maambukizi mapya ili kufikia Malengo ya Serikali.



Katibu Tawala wa Mkoa akipima Maambukizi


Msanii Izzo B

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa