• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Wawekezaji Watakiwa Kufuata Sheria na Taratibu za Nchi

Imetumwa : April 8th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Albert Chalamila amewataka Wawekezaji wenye Asili ya Kichina kufuata sheria na taratibu za nchi hasa katika kusimamia nidhamu ya watumishi wao katika maeneo ya uwekezaji

Mhe Chalamila ameongea hayo leo ofisin kwake alipokutana na wawakilishi na wawekezaji wenye asili ya kichina mkoa wa Mbeya baada ya kupokea malalamiko ya kunyanyaswa kwa baadhi ya watumishi.

“Kikao hiki ni kwa ajili ya kuweka sawa kwani Mkoa Mbeya unawahitaji sana wawekezaji wa kigeni hususani wanaotoka China kuwekeza katika maeneo mbalimbali lakini mnapaswa kusimamia sheria na taratibu za nchi hii”. Mhe Chalamila

Aidha, Chalamila amewahaadi ushirikiano wa kutosha kutoka katika vyombo vya ulinzi na usalama na kuwahakikishia kusaidia kurahisisha taratibu zote za kuwekeza katika kuendeleza na kukuza uwekezaji Mkoa wa Mbeya

Kamanda wa Polisi Mkoa Ulrich Matei amewataka wawekezaji hao kutoa ushirikiano kwa Jeshi la Polisi pale ambapo wanaona wafanyakazi wao wanapofanya uhalifu wa namna yeyote ili waweze kushughulikiwa kisheia badala ya kujichukulia sheria mkononi

Mshiriki wa Mkutano huo Yung Xinyu alitumia nafasi hiyo kuomba radhi kwa watanzania baada ya baadhi ya wachina kuwashambulia wafanyakazi wao wa  kitanzania na kusema watatumia mkutano huu kama sehemu ya kuimarisha mahusiano na biashara zao.

Aidha xinyu ameipongeza Serikali kwa kuendelea kuwaamini na kuwashirikisha katika baadhi ya miradi ya maendeleo hasa ya barabara  katika Mkoa wa Mbeya

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa