Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Juma Homera ametangaza majina ya wanafunzi waliopangwa katika vituo vya Ufundi Stadi vilivyopo katika Halmashauri za Mkoa wa Mbeya baada ya wanafunzi hao kukosa sifa za kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2023 kwenye mfumo Rasmi wa Elimu.
Orodha ya wanafunzi na Vyuo walivyopangiwa hii hapa WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VYUO MBALIMBALI KATIKA MKAO WA MBEYA.pdf
2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA
Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.
Simu: 025-2504045
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras@mbeya.go.tz
Haki MilikiĀ©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa