• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Maji
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Kupata Leseni ya Biashara

Kuna makundi mawili ya Leseni za Biashara, Kundi A na Kundi B. Leseni za Kundi A hutolewa na Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) na Leseni za Kundi B hutolewa na Mamlaka za Serikali za Mitaa (Halmashauri).

Masharti/mahitaji ya jumla kwa makundi yote ya Biashara (Kundi A na Kundi B).

  • Namba ya Utambulisho wa Mlipa Kodi (TIN hutolewa TRA)
  • Cheti cha uthibitisho wa mlipa kodi (Tax Clearance Certificate hutolewa TRA)
  • Kitambulisho cha uraia wa mfanyabiashara ( kimojawapo kati ya hivi Passport ya kusafiria, Cheti cha kuzaliwa, cheti cha Utaifa (NIDA) na kiapo toka mahakani/Affidavit )
  • Mkataba wa pango kama mfanyabiashara amepanga eneo la biashara au Risiti ya Kodi ya jengo kama mfanyabiashara anafanyia biashara katika nyumba yake.
  • Ada ya leseni. Ada hutozwa tofauti kati ya biashara moja na biashara nyingine, pia hutozwa tofauti kulingana na hadhi ya Halmashauri husika.

NB: Hata hivyo katika Makundi yote ya Biashara Kundi A na Kundi B kuna aina mbili za Biashara, biashara za kitaalam na biashara za kawaida. Biashara za Kitaalamu kama Madawa, Sheria, uhandisi, kuendesha shule, zahanati, hospitali n.k zina masharti ya ziada kutegemea aina ya Biashara na Biashara za kawaida zinatumia masharti matano (5) hapo juu ili kupata leseni ya biashara.

 

Matangazo

  • Tangazo la Kazi April 03, 2018
  • Uhamisho wa Watumishi wa MSM Machi 2018 Kutoka TAMISEMI April 03, 2018
  • Matokeo ya Mtihani wa Upimaji Kitaifa Kidato cha Pili January 09, 2018
  • Siku ya Kusikiliza Kero za Wananchi January 04, 2018
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Wananchi Watakiwa Kupewa Elimu Kuhusu REA

    April 14, 2018
  • Sekondari ya Matundasi Kufunguliwa

    April 13, 2018
  • Mkuu wa Mkoa Aagiza Ukaguzi wa Mabasi

    April 10, 2018
  • RC Kuanza kusikiliza Kero Wilayani

    April 06, 2018
  • Tazama Zaidi

Video

Wanafunzi Bora Wapongezwa
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Barua Pepe za Watumishi
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mwongozo Uwekezaji Mkoa wa Mbeya
  • Mafanikio ya TASAF

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • TAMISEMI
  • Utumishi
  • Ikulu
  • NECTA

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 022 253034

    Simu ya Mkononi: 255 784838650

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki@ 2018 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa