• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
      • Maji
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
      • Huduma ya Menejimenti ya Serikali za mitaa
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Matema Wanufaika na Maboresho ya Mradi wa Maji

Imetumwa : February 24th, 2021

Wakazi wa vitongoji vya Bukombe na Igumbi kijiji cha Matema Wilaya ya Kyela wameondokana na tatizo la ukosefu wa majisafi lililodumu zaidi ya miaka 10.

Meneja wa Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) wilayani Kyela, Tanu Haule amesema hali hiyo inatokana na kukamilika kwa ukarabati wa Mradi wa Maji wa Matema wilayani humo

Amesema zaidi ya sh milioni 29 zilitolewa na serikali zimetumika kukarabati wa dharura wa mfumo wa maji ulioharibika miaka ya nyuma.

Deule alibainisha hayo alipotoa taarifa ya mradi huo kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila  alipokuwa akikagua baadhi ya vituo vya kutolea maji,  kikiwemo kilichopo Soko la Samaki la Matema

Alisema ujenzi wa mradi huo ulihusisha ununuzi wa mabomba ya plastiki na viungio vya mabomba, kuchimba mitaro na kulaza mabomba urefu wa mita 900 na kutolea maji na baadaye kuunganisha majumbani.

“Fedha zilizotumika kwenye mradi huu ni serikali kupitia mpango wa ‘Lipa Kwa Matokeo’ unafadhiliwa na Serikali ya Uingereza.Awali ilikadiriwa kutumika shilingi milioni 20 lakini baadaye kazi ziliongezeka na tukafikia milioni 29 mpaka kukamilisha eneo la chanzo cha maji.

“Awali wakazi wa vitongoji husika walipata wakati mgumu sana kupata maji kwa ajili ya matumizi ya majumbanina kulazimika kutembea umbali mrefu kufuata huduma hiyo kwenye mto na visima vifupi vya kuchimba. Alisema

Alisema manufaa mengine ya mradi huo ni kuboreshwa kwa usafi katika soko la samaki,  Awali kulikuwa na chanagamoto kubwa hususani katika vyoo vya soko, kwani watu walilazimika kuchota maji ziwani kwa ajili ya matumizi sokoni hapo.

Meneja huyo alisema miongoni mwa changamoto zinazoukabili mradi huo ni uwepo wa njia ya watalii jirani na bomba kuu linalopitisha maji kutoka chanzo cha maji  ambapo hatua hiyo inahatarisha usalama   wa bomba hilo.

Matangazo

  • Badili Tahasusi kwa Wanafunzi wa Kidato Cha Tano Tarajiwa na Vyuo vya Kati March 29, 2021
  • Matokeo ya Kidato cha Sita 2020 August 21, 2020
  • Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Kidato cha Kwanza 2021 Mkoa wa Mbeya. December 18, 2020
  • Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji March 11, 2021
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Wawekezaji Watakiwa Kufuata Sheria na Taratibu za Nchi

    April 08, 2021
  • Shule Yapewa Jina la Chifu wa Kisafwa

    April 06, 2021
  • 269 Milioni Zatolewa Kwa Wanawake,Vijana na Walemavu

    March 12, 2021
  • Halmashauri ya Jiji Yapewa Siku 3

    March 11, 2021
  • Tazama Zaidi

Video

RC Atoa Onyo Kuelekea Uchaguzi
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Wasifu wa Mkoa wa Mbeya 2015
  • Mpango Mkakati wa Mkoa 2018-2023
  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Mpango Mkakati wa Kuendeleza Sekta za Kilimo 2020 - 2025
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Tovuti ya Serikali
  • TAMISEMI
  • Ajira

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Uzunguni Road

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025 2503034

    Simu ya Mkononi: 255 784838650

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright ©2019 Mbeya Region . All rights reserved.