Saturday 21st, December 2024
@Mbeya
Maenesho na Sherehe za Nanenane 2022 Kitaifa yatafanyika katika Uwanja wa Maonesho wa John Mwakangale jijini Mbeya kuanzia 1 Agosti, 2022 na kilele ni 8 Agosti, 2022.
Kauli mbiu ya Maonesho ya Nanenane 2022 ni "Ajenda 10/30: Kilimo ni Biashara, Shiriki Kuhesabiwa kwa Mipango Bora ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi"
2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA
Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.
Simu: 025-2504045
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras@mbeya.go.tz
Haki MilikiĀ©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa