Saturday 21st, December 2024
@Uwanja wa maonesho wa John B. Mwakangale
Maonesho ya Nane ya Kanda ya Nyanda za juu kusini yatafanyika Mkoa wa Mbeya katika viwanja vya maonesho ya John Mwakangale kuanzia tarehe 01 - 08/08/2024 na yatafunguliwa na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko. Wananchi wote mnakaribishwa kwa wingi kwani hakutakuwa na kiingilio katika maonesho hayo. Kauli mbiu ya maonesho hayo ni "Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi".
2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA
Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.
Simu: 025-2504045
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras@mbeya.go.tz
Haki MilikiĀ©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa