Saturday 21st, December 2024
@Ikuti Rungwe
Makabidhiano ya Mwenge Wa Uhuru tayari yamefanyika katika Viwanja Vya Ikuti Halimashauri ya Wilaya ya Rungwe ukitokea Wilayani ya Ileje Mkoani Songwe.
Mkuu Wa Wilaya ya Momba Bi Ester Mahawe akimwakilisha Mkuu Wa Mkoa Wa Songwe amemkabidhi Mwenge huo Mkuu Wa Wilaya ya Mbeya Mh: Beno Malisa mbele ya Wananchi waliojitokeza kushuhudia Zoezi hilo.
Mwenge Wa Uhuru utakimbizwa katika Halimashauri zote saba Kilometa 1155.5 utaweka mawe ya msingi kutembelea na kuzindua miradi 45 yenye thamani ya Bilioni 36.4.
Timu ya Wakimbiza Mwenge Vijana Sita inaongozwa na Kiongozi Wa Mbio za Mwenge 2023 Ndugu Abdallah Shaib Kaim
2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA
Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.
Simu: 025-2504045
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras@mbeya.go.tz
Haki MilikiĀ©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa