• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Maafisa Upelelezi Watakiwa Kufanya Kazi kwa Weledi

Imetumwa : February 1st, 2019

Maafisa Upelelezi wa Mikoa na Wilaya za kanda ya Nyanda za juu kusini watakiwa kuwa waadilifu na kufanya kazi kwa weledi katika kusimamia na kutekeleza sheria ya alama ya bidhaa yenye lengo la kuzuia na kudhibiti bidhaa bandia kwa kuimarisha uchuuzi wa bidhaa na ufanyaji biashara,ili kuboresha ushindani.

Wito huo umetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe.Albert Chalamila wakati akifungua Mafunzo mahsusi kwa Maafisa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wa Mikoa na Wilaya wa Kanda ya Nyanda za juu Kusini iliyo andaliwa na Tume ya Ushindani (FCC) iliyo fanyika Februari 1,2019 katika ukumbi wa mikutano wa Mkapa jijini Mbeya.

Mhe Mkuu wa Mkoa  alisema mafunzo hayo yataleta mabadiliko katika utendaji wa kazi wa Maafisa hao na vilevile yataleta mabadiliko Makubwa ya kiuchumi kwenye Taifa letu kwa kuwa mbinu mbali mbali zinatumika ile ziweze kumlinda Mwananchi (mlaji) dhidi ya athari na madhara yanayotokana na matumizi ya bidhaa bandia.

 Aidha,ameishukuru na kuipongeza Tume ya Ushindani (FCC) kwa kuandaa mafunzo hayo ya udhibiti wa bidhaa bandia nchini,ambapo yanajenga ushirikiano mzuri kwa Jesi la polisi kama wadu wa kuu katika kutekeleza sheria ya Alama za Bidhaa bandia katika kanda  ya Nyanda za Juu Kusini katika kuzuia bidhaa bandia.

“Katika nchi yetu ni lazima kuwe na bidhaa ambazo zina ubora na viwango vyake vipo sahihi na hakuna wizi wa nembo kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine , na vilevile  udhibiti umeimarika ili kuleta Imani kwa wawekezaji wenye nia njema wanaweza wasivutiwe kuwekeza jambo ambalo litaathiri uchumi wa Viwanda katika Taifa letu” Alisema Chalamila

Awali, Bi. Magdalena Utouh akimuwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ushindani katika mafunzo hayo aliomba Mtanzania mmoja mmoja na wote kwa pamoja kushirikiana katika kupambana na bidhaa bandia, kwakuwa udhibiti wa Bidhaa Bandia ni sehemu muhimu ya uimarishaji wa mazingira ya biashara na uwekezaji nchini.

“Uchumi jumuishi na unaotegemea viwanda hautapatikana kirahisi kama soko litakuwa limejaa bidhaa bandia.”Alisema Utouh



Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa