Mkoa wa Mbeya umepewa dhamana ya kuandaa ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) itakayofanyika tarehe 1.5.2019 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sokoine. Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Magufuri
Uzunguni Road
Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.
Simu: 025 2503034
Simu ya Mkononi:
Barua pepe: ras@mbeya.go.tz
Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa