• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Atoa Msaada wa Mabati

Imetumwa : January 9th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert  Chalamila ametoa zawadi ya bati bando 250 sawa na bati 3000 aina ya Simba yenye thamani ya shilingi milioni 74 kwa Halmashauri zote za Mkoa wa Mbeya.

Mhe Chalamila ametoa mabati hayo leo kwa wakurugenzi wa Halmashauri hizo na kusema kuwa watoto waliofaulu wapo 34,403 na waliopata nafasi wapo 28,148 tu sawa na asilimia 81.82%. Wanafunzi ambao tunadaiwa pahali pao pa kusomea wapo 6225 Kwa mkoa mzima sawa na madarasa 143.

Amesema kuwa  ameona ni vema kuchangia mabati hayo kutoka Alafu aluminum ili yaweze kuezeke madarasa ambayo wazazi wa kipato cha chini na wenye uwezo wamechangia hadi kufikia hatua ya hii.

Mhe Chalamila amesema mabati hayo yametumia kiasi cha  milioni 74.6 Kwa faida ya watoto wetu. Nawaomba sana sana tuendelee kuhamasishaa maendeleo na kukataa mgawanyiko usio na tija Kwa taifa. 

Chalamila amesema kuwa Mh Rais John Magufuli ameanzisha mwendo wa elimu bila malipo kwa shule za sekondari na msingi  kama ilivyokuwa. Ni wajibu wetu kuunga mkono juhudi hizo kwa vitendo. 

Amesema kuwa Usajili mkubwa wa wanafunzi umetokana na Kauli mbiu ya Mh Rais ya Elimu bure. Kila mwezi zaidi ya 23bilioni zinaletwa mashuleni.

Chalamila amewataka watu wote wenye mapenzi mema na mkoa wetu na TANZANIA  kujitokeza kuchangia maendeleo kwa maslahi ya Taifa. Ukiwa na uwezo kajenge darasa,vyoo, madawati, meza za walimu, cement, mchanga, nk peleka kwenye shule yoyote unapoona panafaa.

Amesema  kuwa katika kufanya hivyo wakuu wetu wa shule, waratibu na Maafisa elimu wanajua taratibu na kanuni za uchangiaji. Usisite kuwauliza Njia bora ya kufikisha mchango wako.

Elimu bora Kwa watoto wetu inawezekana. Watoto wa masikini kupata elimu ya sekondari inawezekana.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa