• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RC Homera Amaliza Mgomo wa Daladala

Imetumwa : May 27th, 2021

Kamati ya Usalama ya Mkoa na Wilaya Mbeya imepiga marufuku bajaji zote kutoa huduma nje ya eneo waliloruhusiwa kwa mujibu wa leseni zao za Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Ardhi (LARTA)

Hayo yamesemwa na Comredi Juma Homera Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama ya Mkoa  leo Mei 27, alipokuwa akisoma maazimio ya kamati kwa wadau wa usafirishaji wakiwemo wamiliki wa daladala, Pilipili, malori na bajaji katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa. 

Homera amesema kuwa vyombo vya usafiri vinatakiwa   kuzingatia sheria na kanuni zinazowaongoza pale wanapokuwa wanatoa huduma kwa wananchi 

“Ukienda LATRA pale wameanishiwa maeneo ya kufanyia kazi zao na vituo maalumu. Kwa hiyo daladala na bajaji wafanye biashara kwa mujibu wa leseni zao zinavyowataka” Homera

Maazimio mengine ni pamoja na bajaji kutoingia stendi ya Kabwe na Mwanjelwa, madereva bajaji kutopakia abiria kwenye vituo vya daladala ,pamoja na kutozidisha abiria watatu (3) kwenye bajaji wasiozidi kuwataka madereva bajaji kufuata taratibu za  LATRA

Ameendelea kusema kuwa Wakala wa Barabara (TANROADS) Mkoa na Wakala wa Barabara za Mjini na Vijijini (TARURA) kuhakikisha wanafanya marekebisho ya barabara za pembeni ili kuendelea kupunguza msongamano barabara kuu

Aidha, Mhe Homera ameunda kamati ya kupitia na kusikiliza changamoto kutoka kwa wadau wa usafiri wa umma na wadau wa maendeleo Mbeya kuipa siku 10 kuanzia leo 

Alhamisi Mei 27, 2021 kukamilisha kazi hiyo.

Homera amesema kuwa suala la migomo lina athari kubwa kwa jamii ikiwemo wanafunzi wa kike kukosa usafiri wa kuwafikisha shuleni hivyo kuwa katika hatari kubwa ya kupata mimba.

Naye Naibu Spika na mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,Dk Tulia Ackson amesema amesikitishwa na kitendo cha kuchafuliwa na watu wachache kuwa yeye anamiliki bajaji zaidi ya 300 jambo ambalo ni la uzushi.

DkTulia amesema kuwa yeye hamiliki bajaji bali amekuwa akitoa mikopo kwa vijana kupitia taasisi yake ya Tulia Trust na kwamba anashangazwa na uzushi huo.

Dereva wa lori la mizigo,Elius Amangwinde alimeishauri Serikali kudhibiti utitiri wa vituo vya ukaguzi ambavyo vimekuwa kikwazo kikubwa cha utendaji wa kazi zao.

"Sisi madereva tunahitaji ushirikiano na Serikali kitendo cha utitiri wa vituo vya ukaguzi ikiwa na askari wa usalama barabarani kushindwa kudhibiti bajaji,pikipiki kwenye  katika eneo la mataa ni aibu kubwa kwa  madereva wanaotoka nje ya nchi.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • MAAFISA MAENDELEO YA JAMII WAHIMIZWA KUTUMIA MFUMO WA IMES

    April 29, 2025
  • TUME HURU YA TAIFA YA UCHAGUZI YARIDHISHWA NA MAJIBU YA WADAU KUHUSU MAPENDEKEZO UGAWAJI WA JIMBO LA MBEYA MJINI.

    April 25, 2025
  • DKT. HOMERA AAGIZA MRADI KUKAMILIKA HARAKA IWEZEKANAVYO ILI WANANCHI WAPATE HUDUMA

    April 14, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa