• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

WAKURUGENZI HAKIKISHENI HAWA MADAKITARI WANAPATA HUDUMA NZURI

Imetumwa : September 30th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Cde: Juma Z. Homera amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Mbeya kuhakikisha wanawapatia huduma Nzuri na za Uhakika(Chakula Malazi n.k) Madaktari Bingwa wa Samia waliofika Leo Mkoani Mbeya kwaajiri ya Kuanza Kambi Maalum ya Matibabu katika Hospitali za Halmashauri za Wilaya Mkoani humo.

Ameyasema hayo Leo Septemba 30 2024 wakati akiwapokea Madaktari hao Bingwa kupitia Mpango Kabambe Wenye Kauli mbiu ya Madaktari Bingwa wa Dkt: Samia tumekufikia Karibu tukuhudumie ambayo itaanza Septemba 30 hadi Oktoba 06 2024.

Katika Hotuba yake RC Homera amesema Mkoa wa Mbeya umepokea Jumla ya Madaktari 50 ambapo Kila Hospital ya Halmashauri itapokea Timu ya Madaktari Bingwa Sita na Muuguzi mbobezi Mmoja isipokuwa Halmashauri ya Mbeya Jiji ambayo itakuwa na Madaktari Bingwa Saba.

"Ndugu Washiriki Nimeambiwa Mpango huu una Malengo Makuu Matatu 01. Kutoa huduma za Kibingwa kwa Wagonjwa wa Idara ya Nje na Idara ya Ndani na Kufanya Upasuaji Watoto na Watoto wachanga, Afya ya Kinywa na Meno,Usingizi na ganzi na Migupa na Ajali kwa Wananchi wa Mbeya Mjini" Amesema Homera

Malengo mengine ni Kuwajengea Uwezo Watoa huduma katika Maeneo Yao ya Kazi ili Kuimarisha utambuzi, Matibabu, upasuaji na Rufaa kwa Wagonjwa ngazi ya Haospitali za Halmashauri na ya Mwisho ni Kuimarisha wodi Maalum za Watoto wachanga(NCU).

Aidha amebainisha kuwa katika Kampeni ya Awamu iliyopita Mkoa wa Mbeya uliwafikia Wagonjwa 2859 katika huduma Mbalimbali ikiwemo huduma za Magonjwa ya kinamama Magonjwa ya Ndani, walikuwa na uhitaji wa upasuaji, Watoto na Watoto wachanga na Usingizi na ganzi.

Jumla ya Watoa huduma 307 walinengewa Uwezo katika Maeneo Mbalimbali wanayotolea huduma na Jumla ya kiasi Cha Fedha 53,06,654 kiliweza kukusanywa katika Kipindi Cha Kampeni hiyo.
Katika hitimisho lake RC Homera amemshukuru Dkt: Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea Kutoa Kipaumbele kwenye Sekta ya Afya hususani kuwasogezea Wananchi wake huduma hizi za kibingwa kwenye Hospitali Zetu za Halmashauri ikiwa na Lengo kubwa la kuwafikia Wananchi wengi zaidi Wenye shida Mbalimbali za kiafya.


Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • RC DKT. HOMERA AKUTANA NA MABALOZI WA NCHI NNE AFRIKA

    May 26, 2025
  • "WAFUNDISHENI PIA ULAJI WA LISHE WATU MAOFISINI" - RC DKT. HOMERA

    May 26, 2025
  • FISTULA INATIBIKA, MATIBABU NI BURE, KARIBU UHUDUMIWE - DKT. HOMERA

    May 19, 2025
  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa