Imetumwa : May 12th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Juma Zuberi Homera leo Mei 12 amefika Wilayani Kyela Mkoani Mbeya ambako kwa niaba ya Serikali ameweza kukabidhi misaada mbalimbali kwa wahanga waliokumbwa na mafuriko Wilaya...
Imetumwa : May 10th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Juma Zuberi Homera ameongoza leo kikao cha Wakuu wa mikoa wa Nyanda za juu kusini kilichokuwa na lengo la kujadili maandalizi ya sherehe za sikuu ya wakulima (Nane nane).
...
Imetumwa : May 7th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Juma Zuberi Homera amefanya kikao na wadau mbalimbali wa Tumbaku Wilayani Chunya Mkoani Mbeya na kujadili masuala mbalimbali ya Tumbaku na changamoto zinazowakabili vya...