Imetumwa : March 16th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila amewaagiza watumishi wote wa umma waliochukua mikopo katika Chama cha Ushirika cha Akiba na Mikopo cha Kiwira kurudisha fedha hizo kabla ya tarehe 1 April, ...
Imetumwa : March 12th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Albert Chalamila ameiagiza halmashauri ya Jiji kutotoza ushuru wafanyabiashara wadogo wenye vitambulisho vya ujasiriamali walipanga bidhaa zao kwenye vizimba ndani ya Soko K...
Imetumwa : March 5th, 2019
Wakulima wa zao la Pareto Kata ya Ilembo Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya wamelalamika kutokuwa na imani na bei wanayopewa na wanunuzi kama inaendana na ubora wa zao hili kutokana na kukosa mtaalamu wa ...