• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

RC DKT. HOMERA AKUTANA NA MABALOZI WA NCHI NNE AFRIKA

Imetumwa : May 26th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zuberi Homera hii leo amekutana na Mabalozi wa Tanzania wanaofanya Kazi Nchi Nne Afrika na kujadiliana fursa Mbalimbali za uwekezaji Kati ya Tanzania(Mkoa wa Mbeya) na Nchi hizo ikiwemo uimarishwaji wa Miundombinu ya Barabara,Reli ya TAZARA Bomba la Mafuta na Bandari Kavu ili kurahisisha Shughuli za kibiashara.

Mabalozi waliofika Ofsini ni Pamoja na Balozi wa Tanzania Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo(DRC) Said Mshana, Agness Kayola Balozi Nchini Malawi, Mathew Mkingule Balozi nchini Zambia, Magabilo Murobi Balozi Mdogo Lubumbashi na Afisa Biashara Kutoka Zambia John Ngowo ambao wamefika Kuhudhuria Maongesho ya Kibiashara ya Mbeya Expo 2025.

Aidha RC Dkt. Homera amesema Eneo la Tanganyika Packers na eneo la TBC ni Moja ya Maeneo ambayo Mbeya imeyatenga Maalumu kwaajiri ya uwekezaji wa Viwanda na Shughuli zingine, ambapo Nchi Jirani na Tanzania zinaalikwa Kuna kufanya uwekezaji huo.

Matarajio Mema ya kuwa na Mji wa Kisasa Kata ya Nsalala Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya, Ukamilishwaji wa Barabara Njia Nne ni Moja ya vitu vinavyotazamiwa kuongeza Chachu ya uwekezaji Mbeya.

"Sisi Mbeya tuko Vizuri kwenye kilimo tunazalishaji zao la Kakao,Parachichi,Mpunga, Tumbaku, Pareto Chai na Kahawa hivyo tunawezafanya uwekezaji Mkubwa kupitia Kilimo hiki" RC Homera amesema.

Kwa Upande wao Mabalozi wameyapokea Maombi ya Dkt . Homera na kuahidi kuyachukua na kuzungumza na Wawekezaji wa Nchi wanazofanyia Kazi kwa kusudio la kuongeza mashitikiano Mema.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • RC DKT. HOMERA AKUTANA NA MABALOZI WA NCHI NNE AFRIKA

    May 26, 2025
  • "WAFUNDISHENI PIA ULAJI WA LISHE WATU MAOFISINI" - RC DKT. HOMERA

    May 26, 2025
  • FISTULA INATIBIKA, MATIBABU NI BURE, KARIBU UHUDUMIWE - DKT. HOMERA

    May 19, 2025
  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa