• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
Mbeya Region
Mbeya Region

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Mbeya

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Mipango na Uratibu
      • Elimu
        • Orodha Mpya ya Vitu
      • Uwekezaji, Viwanda na Biashara
      • Usimamizi, Ufuatiliaji na Ukaguzi
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Uchumi na Uzalishaji
      • Miundombinu
    • Vitengo
      • Tehama na Takwimu
      • Fedha
      • Manunuzi na Ugavi
      • Huduma za Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Mawasiliano Serikalini
  • Wilaya
    • Mbeya
    • Chunya
    • Mbarali
    • Rungwe
    • Kyela
  • Halmashauri
    • Kyela
    • Busokelo
    • Mbeya
    • Chunya
    • Rungwe
    • Mbarali
    • Jiji la Mbeya
  • Fursa za Uwekezaji
    • Utalii
      • Ziwa Ngozi
      • Milima ya Mbeya
      • Daraja la Mungu
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma
    • Afya
    • Elimu
    • Kilimo
    • Maji
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Nyaraka
    • Sheria
    • Fomu ya Maombi
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma Kwa Wateja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za Shughuli za Ofisi/Kitaifa
    • Hotuba za Viongozi Mbalimbali
    • Maktaba ya Picha

"WAFUNDISHENI PIA ULAJI WA LISHE WATU MAOFISINI" - RC DKT. HOMERA

Imetumwa : May 26th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Z. Homera amewataka Maafisa Lishe wa Halmashauri kufundisha Umhimu wa Lishe kwa Watu wazima ili kuzingatia Namna bora ya ulaji badala ya kula Vyakula vya aina Moja vinavyoweza kuchangia Hali ya Ukondefu na udumavu kwa Watoto.

Homera ameyasema hayo hii leo akiwa kata ya Inyala Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya wakati akizindua Mradi wa Lishe ya Mwanao unaotekelezwa na Shirika la CRS chini ya udhamini wa Serikali ya Norway kwa Kushirikiana na UNICEF.

Katika Uzinduzi wa Mradi huo unaotekelezwa katika Mikoa ya Mbeya na Njombe Dkt.Homera amesema kiwango Cha ukondefu kimepungua Kutoka asilimia 2.7 hadi asilimia 0.6, Uzito pungufu(Udumavu) umepungua Kutoka asilimia 9.8 mpaka asilimia 1.4 wakati Uzito uliozidi umepungua Kutoka asilimia 5.3 hadi asilimia 5.2

Akisoma Taarifa ya Mradi Bi Ophilia Katumuna Kutoka UNICEF amesema Lengo la Mradi ni Kupunguza udumavu wa utotoni na kuboresha Matokeo ya Lishe ya Vijana kwa kupitia miundo na mifumo ya Jamii iliyoimarishwa kwa kuwa Udumavu huathiri ukuaji wa kimwili na wa kiakili kwa Watoto.

Ophilia amesema Hali ya Udumavu kwa Mkoa wa Mbeya ni asilimia 32 ambao ni juu kidogo ya wastani wa kitaifa ambao ni asilimia 30 ikizingatiwa kuwa Mkoa wa Mbeya ni miongoni mwa Mikoa inayozalidha mazao ya Chakula kwa wingi kwa Kipindi chote Cha Mwaka.

Kwa Upande Wake Dorice Munisi Meneja Mradi wa Lishe ya mwanao Mkoa wa Mbeya Kutoka CRS Walengwa wa Mradi ambao Watoto chini ya Miaka mitano na Wazazi wao, Mama wajawazito,Vijana wa Rika balehe, wanaume vinara Pamoja na Jamii kwa Ujumla

Afua mahususi za Lishe na afua mtambuka za Lishe miongoni mwa afua mahususi za Lishe ni kukuza na kuhamasisha ulishaji wa watoto wachanga na wadogo, kukuza na kuongeza matumizi ya Vyakula vilivyoongezwa virutubishi, kuimarisha ufuatiliaji na ukuaji wa Mtoto na uhamasishaji na kuboresha Hali ya Lishe mashuleni.

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA UTAMILIFU "MOCK" KIDATO CHA NNE MKOA WA MBEYA 2024 August 20, 2024
  • FOMU YA MAOMBI YA USHIRIKI WA MAONESHO YA NANENANE 2024 July 23, 2024
  • Fomu ya Maombi Ushiriki wa Maonesho ya Nanenane_2023-_Kiswahili July 03, 2023
  • WANAFUNZI WALIOPANGWA KATIKA VITUO VYA UFUNDI STADI NA ELIMU NJE YA MFUMO RASMI MKOA WA MBEYA February 03, 2023
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • RC DKT. HOMERA AKUTANA NA MABALOZI WA NCHI NNE AFRIKA

    May 26, 2025
  • "WAFUNDISHENI PIA ULAJI WA LISHE WATU MAOFISINI" - RC DKT. HOMERA

    May 26, 2025
  • FISTULA INATIBIKA, MATIBABU NI BURE, KARIBU UHUDUMIWE - DKT. HOMERA

    May 19, 2025
  • MAANDALIZI YA SHEREHE ZA NANE NANE NYANDA ZA JUU KUSINI YAANZA KWA KISHINDO

    April 30, 2025
  • Tazama Zaidi

Video

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA MBEYA
Video

Viunganishi vya Haraka

  • Mbeya Regional GNP Report 2015
  • Barua Pepe za Watumishi
  • Mbeya kwa Namba
  • Utaratibu wa Uhamisho
  • Fomu ya Ruhusa
  • Maoni na Malalamiko
  • Mafanikio ya TASAF
  • OPRAS Fomu
  • Fomu ya Matibabu

Viunganishi Linganifu

  • Sekretarieti ya Ajira
  • EOFFICE
  • Utumishi
  • Ikulu
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiria Nje ya Nchi
  • Tovuti ya Serikali

Idadi ya Wasomaji Duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    2 Barabara ya Kamishina, 53180 MBEYA

    Anuani ya Posta: P. O.Box 754,Mbeya.

    Simu: 025-2504045

    Simu ya Mkononi:

    Barua pepe: ras@mbeya.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Haki Miliki©2023 Mkoa wa Mbeya. Haki zote Zimehifadhiwa