Imetumwa : August 28th, 2024
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2024 Godfrey Mnzava Pamoja na timu yake ya Vijana Sita wamewaasa Wananchi hasa Madereva Kuitunza na Kunitumia kwa Matumizi Sahihi Barabara ya community yeny...
Imetumwa : August 27th, 2024
Mwenge wa Uhuru 2024 kupitia kwa kiongozi wake Ndg: Godfrey Mnzava umetembelea na kukagua Mradi wa upandishaji Hadhi Barabara ya Ndulilo-Itete yenye Kilomita 11.35 kwa Kiwango Cha Lami unaotekelezwa n...
Imetumwa : August 27th, 2024
Kiongozi wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu Godfrey Eliakimu Mnzava leo Jumanne tarehe 27/08/2024 ameweka jiwe la msingi katika mradi wa kuboresha huduma ya majisafi katika Mji wa Tukuyu unaosim...