Imetumwa : July 12th, 2018
Mti huu ni aina ya Mvule na unapatikana masoko katika wilaya ya rungwe, mti huu ni mkubwa kiasi kwamba ili kuweza kuuzunguka wote unahitaji watu kuanzia nane waliounganisha mikono. ukiupima una futi 3...
Imetumwa : July 10th, 2018
Ngozi ni ziwa la kreta (crater lake) lipatikanalo Mkoa wa Mbeya kwenye milima ya Uporoto, lipo katika nyuzi 9.008° Kusini na 33.553° Mashariki, ni ziwa la pili kwa ukubwa barani Afrika baada ya lile l...
Imetumwa : July 10th, 2018
Kipunji (rungweceubus kipunji) ni jamii mpya ya nyani waliogunduliwa mnamo mwaka 2003, ni aina ya tumbili wanaopatikana na kuishi katika misitu ya nyanda za juu kusini mwa Tanzania. Wanasayansi waliwa...