Imetumwa : July 11th, 2019
Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii ,Jinsia wazee na watoto Mh Ummy Mwalimu ameupongeza Mkoa wa Mbeya kwa kuweka mikakati iliyosaidia kupunguza tatizo la Ugonjwa wa Kipindupindu hasa Wilaya ya Kyela.
...
Imetumwa : July 8th, 2019
Na Esther Macha ,Rungwe
MKUU wa Mkoa wa Mbeya ,Albert Chalamila ametoa wiki moja kwa uongozi wa halmashauri ya wilaya ya Rungwe kukamilisha upanuzi wa chumba cha kuhifadhia maiti pamoja na...
Imetumwa : July 5th, 2019
Na Esther Macha ,Rungwe
UJENZI wa majengo saba ya kituo cha afya cha Masukulu kilichopo wilayani Rungwe umeingia dosari baada ya kubainika majengo hayo kujengwa chini ya kiwango .
Lakini p...