Imetumwa : December 4th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amewaagiza Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Mbeya kufanya uchunguzi wa ubadhirifu wa Sh800 milioni ...
Imetumwa : December 1st, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Albert Chalamila ameziagiza halmashauri zote za Mkoa wa Mbeya kutenga fedha kutoka vyanzo vya ndani ili kuendelea kutekeleza afua VVU na UKIMWI hasa kwa kinga na tiba ili kuf...
Imetumwa : November 27th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila ameamuru watu sita kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kughushi saini za watu waliofariki dunia kisha Serikali kuwalipa fidia ya Sh108 milioni kati...